Hesabu 32:13
Hesabu 32:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu aliwaka hasira dhidi ya Waisraeli, akawafanya watangetange jangwani kwa muda wa miaka arubaini; kizazi kizima kilichokuwa kimefanya maovu mbele yake kikafariki.
Shirikisha
Soma Hesabu 32Hesabu 32:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hasira za BWANA ziliwaka juu ya Israeli, naye akawatembeza huku na huko jangwani muda wa miaka arubaini, hata kizazi hicho kizima kilichokuwa kimefanya uovu machoni pa BWANA kilipoisha angamia.
Shirikisha
Soma Hesabu 32