Hesabu 30:8
Hesabu 30:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama mume wake akisikia jambo hilo akampinga, basi huyo mumewe atabatilisha nadhiri ya mkewe na tamko lake alilotoa bila kufikiri; naye Mwenyezi-Mungu atamsamehe.
Shirikisha
Soma Hesabu 30Hesabu 30:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kama mumewe akimkataza siku hiyo aliyolisikia; ndipo ataitangua nadhiri yake iliyo juu yake na neno alilolitamka kwa midomo yake pasipo kufikiri, alilojifungia; na BWANA atamsamehe
Shirikisha
Soma Hesabu 30