Hesabu 27:18-19
Hesabu 27:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Mtwae Yoshua mwana wa Nuni, mtu mwenye roho nzuri, kisha umwekee mikono, na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na jumuiya yote, umkabidhi jukumu hilo.
Shirikisha
Soma Hesabu 27Hesabu 27:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Mtwae Yoshua, mwana wa Nuni, mtu ambaye roho iko ndani yake, ukamwekee mkono wako; kisha ukamweke mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya jumuiya yote; ukampe mausia mbele ya macho yao.
Shirikisha
Soma Hesabu 27