Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 26:12 - Compare All Versions

Hesabu 26:12 BHN (Biblia Habari Njema)

Kabila la Simeoni. Nemueli, Yamini, Yakini

Shirikisha
Hesabu 26 BHN

Hesabu 26:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na wana wa Simeoni kwa jamaa zao; wa Yemueli, jamaa ya Wayemueli; wa Yamini, jamaa ya Wayamini; na Yakini, jamaa ya Wayakini

Shirikisha
Hesabu 26 SRUV

Hesabu 26:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na wana wa Simeoni kwa jamaa zao; wa Yemueli, jamaa ya Wayemueli; wa Yamini, jamaa ya Wayamini; na Yakini, jamaa ya Wayakini

Shirikisha
Hesabu 26 SUV

Hesabu 26:12 NEN (Neno)

Wazao wa Simeoni kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Nemueli, ukoo wa Wanemueli; kutoka kwa Yamini, ukoo wa Wayamini; kutoka wa Yakini, ukoo wa Wayakini

Shirikisha
Hesabu 26 NEN