Hesabu 24:16
Hesabu 24:16 Biblia Habari Njema (BHN)
kauli ya mtu aliyesikia maneno ya Mungu, na mtu ajuaye maarifa ya Mungu Mkuu, mtu aonaye maono ya Mungu Mwenye Nguvu, mtu anayesujudu, macho wazi.
Shirikisha
Soma Hesabu 24Hesabu 24:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu, Na kuyajua maarifa yake Aliye Juu. Yeye aonaye maono ya Mwenyezi, Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho
Shirikisha
Soma Hesabu 24