Hesabu 24:1
Hesabu 24:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa Balaamu alitambua kwamba Mwenyezi-Mungu alipenda kuwabariki Waisraeli, kwa hiyo hakwenda kupiga bao tena, akawa anaangalia jangwani.
Shirikisha
Soma Hesabu 24Hesabu 24:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Balaamu alipoona ya kuwa ilimpendeza BWANA kuwabariki Israeli, hakwenda, kama hapo awali, ili kupiga bao, bali alielekeza uso wake jangwani.
Shirikisha
Soma Hesabu 24