Hesabu 23:8
Hesabu 23:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitamlaanije mtu ambaye Mungu hakumlaani? Nitawalaumuje watu ambao Mwenyezi-Mungu hakuwalaumu?
Shirikisha
Soma Hesabu 23Hesabu 23:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimlaanije, yeye ambaye Mungu hakumlaani? Nimshutumuje, yeye ambaye BWANA hakumshutumu?
Shirikisha
Soma Hesabu 23