Hesabu 23:7
Hesabu 23:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Balaamu akamtolea Balaki kauli yake, akasema, “Balaki amenileta hapa kutoka Aramu, naam, mfalme wa Moabu amenileta kutoka milima ya mashariki. ‘Njoo uwalaani watu wa Yakobo kwa ajili yangu, naam, njoo uwalaumu Waisraeli!’
Shirikisha
Soma Hesabu 23Hesabu 23:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akatunga mithali yake, akasema, Balaki amenileta kutoka Aramu, Mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki, Njoo! Unilaanie Yakobo, Njoo! Unishutumie Israeli.
Shirikisha
Soma Hesabu 23