Hesabu 23:17
Hesabu 23:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Balaamu akarudi, akamkuta Balaki amesimama karibu na sadaka ya kuteketezwa pamoja na maofisa wote wa Moabu. Balaki akamwuliza, “Mwenyezi-Mungu amekuambia nini?”
Shirikisha
Soma Hesabu 23Hesabu 23:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akafika kwake, na tazama, amesimama karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, na wakuu wa Moabu pamoja naye. Balaki akamwambia, BWANA amenena nini?
Shirikisha
Soma Hesabu 23