Hesabu 23:12
Hesabu 23:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Balaamu akamwambia Balaki, “Sina budi kusema maneno aliyonipa Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Hesabu 23Hesabu 23:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akajibu, akasema, Je! Hainipasi kuangalia, niseme neno lile BWANA atialo kinywani mwangu?
Shirikisha
Soma Hesabu 23