Hesabu 22:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 22:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Mfalme Balaki mwana wa Sipori, alijua mambo yote Waisraeli waliyowatendea Waamori.
Shirikisha
Hesabu 22 BHNHesabu 22:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Balaki mwana wa Sipori akaona mambo yote ambayo Israeli wamewatendea Waamori.
Shirikisha
Hesabu 22 SUVHesabu 22:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na Balaki mwana wa Sipori akaona mambo yote ambayo Israeli wamewatendea Waamori.
Shirikisha
Hesabu 22 SRUVHesabu 22:2 NEN (Neno)
Basi Balaki mwana wa Sipori, aliona mambo yale yote ambayo Israeli aliwatendea Waamori
Shirikisha
Hesabu 22 NEN