Hesabu 20:1
Hesabu 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Jumuiya nzima ya Waisraeli ilifika katika jangwa la Sinai mnamo mwezi wa kwanza, wakapiga kambi yao huko Kadeshi. Wakiwa huko, Miriamu alifariki, akazikwa.
Shirikisha
Soma Hesabu 20Hesabu 20:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha wana wa Israeli, mkutano wote, wakaingia jangwa la Sinai, katika mwezi wa kwanza, watu wakakaa Kadeshi; Miriamu akafa huko, akazikwa huko.
Shirikisha
Soma Hesabu 20