Hesabu 14:9
Hesabu 14:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mradi tu msimwasi Mwenyezi-Mungu, wala msiwaogope wenyeji wa nchi hiyo. Maana wao ni mboga tu kwetu; kinga yao imekwisha ondolewa kwao, naye Mwenyezi-Mungu yu pamoja nasi; msiwaogope!”
Shirikisha
Soma Hesabu 14Hesabu 14:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini msimwasi BWANA, wala msiwaogope wale wenyeji wa nchi, maana wao ni chakula kwetu; kinga iliyokuwa juu yao imeondolewa, naye BWANA yuko pamoja nasi; msiwaogope.
Shirikisha
Soma Hesabu 14