Hesabu 14:6
Hesabu 14:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoshua, mwana wa Nuni, na Kalebu, mwana wa Yefune, ambao walikuwa miongoni mwa wale watu waliokwenda kuipeleleza hiyo nchi, wakazirarua nguo zao
Shirikisha
Soma Hesabu 14Hesabu 14:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Yoshua mwana wa Nuni, na Kalebu mwana wa Yefune, waliokuwa miongoni mwao walioipeleleza nchi, wakararua nguo zao
Shirikisha
Soma Hesabu 14