Hesabu 14:29
Hesabu 14:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtakufa na miili yenu itatupwa humuhumu jangwani, kwa sababu mmenungunika dhidi yangu, hakuna hata mmoja wenu mwenye umri wa kuanzia miaka ishirini na zaidi
Shirikisha
Soma Hesabu 14Hesabu 14:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mizoga yenu itaanguka katika jangwa hili, na wote waliohesabiwa miongoni mwenu, kama jumla ya hesabu yenu, tangu waliopata umri wa miaka ishirini na zaidi, hao walioninung'unikia
Shirikisha
Soma Hesabu 14