Hesabu 13:26
Hesabu 13:26 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Wakarudi kwa Musa, Haruni na jumuiya yote ya Waisraeli huko Kadeshi kwenye Jangwa la Parani. Hapo ndipo walipotoa habari kwao na kwa kusanyiko lote na kuwaonesha matunda ya hiyo nchi.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliwaendea Mose, Aroni na jumuiya ya Waisraeli huko Kadeshi, katika jangwa la Parani, wakatoa taarifa ya mambo waliyoyaona na kuwaonesha matunda ya nchi.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaenda wakafika kwa Musa, na kwa Haruni, na kwa mkutano wote wa wana wa Israeli, katika jangwa la Parani, huko Kadeshi; wakawaletea habari, wao na mkutano wote, wakawaonesha matunda ya nchi.
Shirikisha
Soma Hesabu 13