Hesabu 13:23
Hesabu 13:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipofika katika Bonde la Eshkoli, watu hao walikata shada la mzabibu lililokuwa na matunda mengi nalo lilibebwa na watu wawili juu ya mti. Walichukua pia makomamanga kadhaa na tini.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakafika bonde la Eshkoli, na huko wakakata tawi lenye kishada kimoja cha zabibu, wakalichukua kwa mti kati ya watu wawili; wakaleta makomamanga pia, na tini.
Shirikisha
Soma Hesabu 13