Hesabu 13:20
Hesabu 13:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Chunguzeni pia kama nchi yenyewe ni tajiri au maskini, ina miti au haina. Muwe na mioyo ya ujasiri na mnaporudi chukueni baadhi ya matunda ya nchi hiyo.” Hayo yalikuwa majira ya zabibu zianzapo kuiva.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nayo nchi ni ya namna gani, kama ni nchi ya utajiri au ya umaskini; kama ina misitu au haina. Kuweni na mioyo ujasiri, mkayalete matunda ya nchi. Basi wakati ule ulikuwa wakati wa kuiva zabibu za kwanza.
Shirikisha
Soma Hesabu 13