Hesabu 13:2
Hesabu 13:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tuma watu waende wakaipeleleze nchi ya Kanaani ambayo ninawapa wana wa Israeli. Utatuma mtu mmoja kutoka katika kila kabila, na mtu huyo lazima awe kiongozi katika kabila lake.”
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tuma watu, ili waende wakaipeleleze nchi ya Kanaani, niwapayo wana wa Israeli; katika kabila la baba zao mtamtuma mtu mmoja, kila mtu na awe mkuu kati yao.
Shirikisha
Soma Hesabu 13