Hesabu 13:17-18
Hesabu 13:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Alipowatuma kwenda kuipeleleza nchi ya Kanaani, Mose aliwaambia: “Nendeni juu kule Negebu, hadi kwenye nchi ya milima, mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akawatuma ili waipeleleze nchi ya Kanaani, akawaambia, Pandeni sasa katika Negebu mkapande milimani, mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kama ni wenye nguvu au dhaifu, kama ni wengi au wachache
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:17-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Musa akawapeleka ili waipeleleze nchi ya Kanaani, akawaambia, Pandeni sasa katika Negebu mkapande milimani, mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kwamba ni hodari au dhaifu, kwamba ni wachache au wengi
Shirikisha
Soma Hesabu 13