Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 12:2 - Compare All Versions

Hesabu 12:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo.

Shirikisha
Hesabu 12 BHN

Hesabu 12:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakasema, Je! Ni kweli BWANA amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? BWANA akasikia maneno yao.

Shirikisha
Hesabu 12 SRUV

Hesabu 12:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakasema, Je! Ni kweli BWANA amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? BWANA akasikia maneno yao.

Shirikisha
Hesabu 12 SUV

Hesabu 12:2 NEN (Neno)

Waliuliza, “Je, BWANA amesema kupitia Musa peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?” Naye BWANA akasikia hili.

Shirikisha
Hesabu 12 NEN