Hesabu 12:1
Hesabu 12:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Miriamu na Haruni walianza kuzungumza dhidi ya Musa kwa sababu ya mke wake Mkushi, kwa kuwa alikuwa ameoa Mkushi.
Shirikisha
Soma Hesabu 12Hesabu 12:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Miriamu na Aroni walianza kumsema vibaya Mose kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa.
Shirikisha
Soma Hesabu 12Hesabu 12:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Miriamu na Haruni wakamteta Musa kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa; maana, alikuwa amemwoa mwanamke Mkushi.
Shirikisha
Soma Hesabu 12