Hesabu 10:35
Hesabu 10:35 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Musa alisema, “Ee BWANA, inuka! Watesi wako na watawanyike; adui zako na wakimbie mbele zako.”
Shirikisha
Soma Hesabu 10Hesabu 10:35 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila wakati sanduku liliposafiri kwenda mbele, Mose alisema, “Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwatawanye adui zako, na hao wanaokuchukia uwafanye wakimbie kutoka mbele yako.”
Shirikisha
Soma Hesabu 10Hesabu 10:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ilikuwa, hapo sanduku liliposafiri kwenda mbele, ndipo Musa akasema, Inuka, Ee BWANA, adui zako na watawanyike; na wakimbie mbele zako hao wakuchukiao.
Shirikisha
Soma Hesabu 10