Hesabu 10:1-2
Hesabu 10:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Tengeneza tarumbeta mbili kwa fedha iliyofuliwa. Utazitumia tarumbeta hizo wakati wa kuwaita watu na wakati wa kuvunja kambi.
Shirikisha
Soma Hesabu 10Hesabu 10:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha BWANA akanena na Musa, akamwambia, Jifanyie tarumbeta mbili za fedha; utazifanya za kazi ya ufuzi; nawe utazitumia kwa kuwaita mkutano wakutane, na kwa kusafiri kwao yale makambi.
Shirikisha
Soma Hesabu 10