Nehemia 8:6
Nehemia 8:6 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ezra akamsifu BWANA, Mungu mkuu, nao watu wote wakainua mikono yao na kuitikia, “Amen! Amen!” Kisha wakasujudu na kumwabudu BWANA, nyuso zao zikigusa chini.
Shirikisha
Soma Nehemia 8Nehemia 8:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Ezra akamshukuru Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu na watu wote wakaitikia “Amina! Amina!” Huku wakiwa wameinua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Mungu huku nyuso zao zikigusa ardhi.
Shirikisha
Soma Nehemia 8Nehemia 8:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ezra akamhimidi BWANA, Mungu Mkuu. Nao watu wote wakaitika, Amina, Amina, pamoja na kuinua mikono yao; kisha wakainamisha vichwa vyao, wakamsujudu BWANA kifudifudi.
Shirikisha
Soma Nehemia 8