Nehemia 2:20
Nehemia 2:20 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Nikawajibu kwa kusema, “Mungu wa mbinguni atatufanikisha. Sisi watumishi wake tutaanza kujenga upya, lakini ninyi hamna sehemu wala dai lolote, wala kumbukumbu la haki katika Yerusalemu.”
Shirikisha
Soma Nehemia 2Nehemia 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Nikawajibu, “Mungu wa mbinguni atatufanikisha katika kazi hii, nasi tulio watumishi wake tutaanza ujenzi. Lakini nyinyi hamna fungu wala haki wala kumbukumbu katika mji wa Yerusalemu.”
Shirikisha
Soma Nehemia 2Nehemia 2:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo nikawajibu, nikawaambia, Mungu wa mbinguni, yeye atatufanikisha; kwa hiyo sisi, watumishi wake, tutaondoka na kujenga; lakini ninyi hamna sehemu, wala haki, wala kumbukumbu, katika Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Nehemia 2