Nehemia 13:8-9
Nehemia 13:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilikasirika sana na nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia. Niliamuru watu, nao wakatakasa vyombo hivyo, ndipo nikarudisha humo vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na tambiko za nafaka na ubani.
Shirikisha
Soma Nehemia 13Nehemia 13:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nikasikitika sana; basi nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia vitoke humo chumbani. Kisha nikatoa amri, nao wakavisafisha vyumba; nami nikavirudisha humo vyombo vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za unga na ubani.
Shirikisha
Soma Nehemia 13Nehemia 13:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nikasikitika sana; basi nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia vitoke humo chumbani. Kisha nikatoa amri, nao wakavisafisha vyumba; nami nikavirudisha humo vyombo vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za unga na ubani.
Shirikisha
Soma Nehemia 13