Nehemia 13:7
Nehemia 13:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliporudi Yerusalemu ndipo nikagundua uovu wa Eliashibu wa kumpa Tobia chumba katika ua wa nyumba ya Mungu.
Shirikisha
Soma Nehemia 13Nehemia 13:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nikaja Yerusalemu, nikafahamu yale mabaya, ambayo Eliashibu ameyatenda kwa ajili ya Tobia, kwa kumtengenezea chumba katika nyua za nyumba ya Mungu.
Shirikisha
Soma Nehemia 13