Nehemia 13:25
Nehemia 13:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliwakemea na kuwaapiza, hata nikawapiga baadhi yao na kuwavuta nywele zao. Niliwalazimisha kuapa kwa jina la Mungu, nikisema, “Binti zenu msiwaoze kwa vijana wao, wala binti zao wasiolewe na vijana wenu au na nyinyi wenyewe.
Shirikisha
Soma Nehemia 13Nehemia 13:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikagombana nao, nikawalaani, nikawapiga baadhi yao, na kuwang'oa nywele zao; nikawaapisha kwa Mungu, nikasema, Msiwaoze wana wao binti zenu, wala msiwatwae binti zao ili waolewe na wana wenu, wala na ninyi wenyewe.
Shirikisha
Soma Nehemia 13Nehemia 13:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nikagombana nao, nikawalaani, nikawapiga baadhi yao, na kuwang’oa nywele zao; nikawaapisha kwa Mungu, nikasema, Msiwaoze wana wao binti zenu, wala msiwatwae binti zao ili waolewe na wana wenu, wala na ninyi wenyewe.
Shirikisha
Soma Nehemia 13