Nehemia 1:3
Nehemia 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Wao wakaniambia, “Wayahudi waliosalimika na kubaki katika mkoa ule, wako katika taabu na aibu. Ukuta wa mji wa Yerusalemu umebomolewa na malango yake yameteketea.”
Shirikisha
Soma Nehemia 1Nehemia 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaniambia, Watu waliosalimika, waliosalia huko katika mkoa ule, wamo katika hali ya dhiki kubwa na aibu; tena ukuta wa Yerusalemu umebomolewa, na malango yake yameteketezwa kwa moto.
Shirikisha
Soma Nehemia 1