Nahumu 1:2
Nahumu 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye wivu, mlipiza kisasi; Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi na ni mwenye ghadhabu; Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi kwa adui zake, huwaka ghadhabu juu ya adui zake.
Shirikisha
Soma Nahumu 1Nahumu 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ni Mungu mwenye wivu, naye hujilipiza kisasi; BWANA hujilipiza kisasi, naye ni mwingi wa hasira; BWANA hujilipiza kisasi juu ya adui zake, huwawekea adui zake akiba ya hasira.
Shirikisha
Soma Nahumu 1