Marko 9:41 - Compare All Versions
Marko 9:41 BHN (Biblia Habari Njema)
Mtu yeyote atakayewapeni kikombe cha maji ya kunywa, kwa sababu nyinyi ni watu wake Kristo, hakika hatakosa kupata tuzo lake.
Shirikisha
Marko 9 BHNMarko 9:41 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa yeyote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Shirikisha
Marko 9 SRUVMarko 9:41 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Shirikisha
Marko 9 SUVMarko 9:41 NEN (Neno)
Amin, nawaambia, yeyote awapaye ninyi kikombe cha maji kwa Jina langu kwa sababu ninyi ni mali ya Kristo, hakika hataikosa thawabu yake.
Shirikisha
Marko 9 NEN