Marko 8:36 - Compare All Versions
Marko 8:36 BHN (Biblia Habari Njema)
Je, kuna faida gani mtu kuupata ulimwengu wote na kuyapoteza maisha yake?
Shirikisha
Marko 8 BHNMarko 8:36 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa itamfaidi mtu nini kuupata ulimwengu wote, akiipoteza nafsi yake?
Shirikisha
Marko 8 SRUVMarko 8:36 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
Shirikisha
Marko 8 SUVMarko 8:36 NEN (Neno)
Je, itamfaidi nini mtu kuupata ulimwengu wote, lakini akayapoteza maisha yake?
Shirikisha
Marko 8 NEN