Marko 7:8-9
Marko 7:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Yesu akaendelea kusema, “Nyinyi mnajua kuepa kwa ujanja sheria ya Mungu kwa ajili ya kufuata mapokeo yenu!
Shirikisha
Soma Marko 7Marko 7:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.
Shirikisha
Soma Marko 7