Marko 3:28-29
Marko 3:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote; lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.” (
Shirikisha
Soma Marko 3Marko 3:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele
Shirikisha
Soma Marko 3