Marko 1:40-41
Marko 1:40-41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaja kwake mtu mwenye ukoma, akamsihi na kumpigia magoti, na kumwambia, Ukitaka, waweza kunitakasa. Naye akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.
Shirikisha
Soma Marko 1Marko 1:40-41 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtu mmoja mwenye ukoma alimjia Yesu, akamwomba akipiga magoti, akamwambia, “Ukitaka, waweza kunitakasa.” Yesu, akiwa amejawa na huruma, akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Nataka. Takasika!”
Shirikisha
Soma Marko 1