Mika 6:2
Mika 6:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Sikilizeni kesi ya Mwenyezi-Mungu enyi milima, sikilizeni enyi misingi ya kudumu ya dunia! Mwenyezi-Mungu anayo kesi dhidi ya watu wake. Yeye atatoa mashtaka dhidi ya Waisraeli.
Shirikisha
Soma Mika 6Mika 6:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sikieni, enyi milima, shutuma ya BWANA, na ninyi, enyi misingi ya dunia iliyo imara; kwa maana BWANA ana shutuma na watu wake, naye atahojiana na Israeli.
Shirikisha
Soma Mika 6