Mika 5:5
Mika 5:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye ndiye atakayeleta amani. Waashuru wakivamia nchi yetu, na kuupenya ulinzi wetu, tutapeleka walinzi wawakabili, naam, tutawapeleka viongozi wetu kwa wingi.
Shirikisha
Soma Mika 5Mika 5:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mtu huyu atakuwa amani yetu; wakati Mwashuri atakapoingia katika nchi yetu, na kuyakanyaga majumba yetu, hapo mtawaleta wachungaji saba juu yake, na wakuu wanane.
Shirikisha
Soma Mika 5