Mika 5:1
Mika 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Jumuikeni mkajikusanye enyi watu wa Yerusalemu; mkisema: “Tumezingirwa, tumesongwa; naye kiongozi wa Israeli wanampiga shavuni kwa fimbo.”
Shirikisha
Soma Mika 5Mika 5:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa utajikusanya vikosi vikosi, Ee binti wa vikosi; yeye amemhusuru; watampiga mwamuzi wa Israeli shavuni mwake kwa fimbo.
Shirikisha
Soma Mika 5