Mika 2:9
Mika 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnawafukuza wake za watu wangu kutoka nyumba zao nzuri; watoto wao mmewaondolea fahari yangu milele.
Shirikisha
Soma Mika 2Mika 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wanawake wa watu wangu mnawatupa nje ya nyumba zao nzuri; watoto wao wachanga mnawanyang'anya utukufu wangu milele.
Shirikisha
Soma Mika 2