Mika 1:8
Mika 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo, mimi nitalia na kuomboleza; nitatembea uchi na bila viatu. Nitaomboleza na kulia kama mbweha, nitasikitika na kulia kama mbuni.
Shirikisha
Soma Mika 1Mika 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa ajili ya hayo nitaomboleza na kulia, Nitakwenda nimevua nguo, nikiwa uchi; Nitaomboleza kama mbweha, Na kulia kama mbuni.
Shirikisha
Soma Mika 1