Mika 1:14
Mika 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, mnapaswa kuagana na kuwaacha wakazi wa Morasheth-gathi. Nao mji wa Akzibu hautawasaidia wafalme wa Israeli
Shirikisha
Soma Mika 1Mika 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo mtaipa Moresheth-Gathi zawadi ya kuagia; Nyumba za Akzibu zitakuwa kijito kidanganyacho wafalme wa Israeli.
Shirikisha
Soma Mika 1