Mathayo 9:9
Mathayo 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda zake, alimwona mtu mmoja aitwaye Mathayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Basi, Yesu akamwambia, “Nifuate.” Naye Mathayo akainuka, akamfuata.
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.
Shirikisha
Soma Mathayo 9