Mathayo 9:6
Mathayo 9:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza, “Inuka, chukua kitanda chako, uende nyumbani kwako.”
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (amwambia yule mwenye kupooza) Inuka, ujitwike kitanda chako, uende nyumbani kwako.
Shirikisha
Soma Mathayo 9