Mathayo 9:4
Mathayo 9:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu aliyajua mawazo yao, akasema, “Kwa nini mnawaza mabaya mioyoni mwenu?
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu, hali akijua mawazo yao, akasema, Mbona mnawaza maovu mioyoni mwenu?
Shirikisha
Soma Mathayo 9