Mathayo 9:28
Mathayo 9:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipoingia nyumbani, watu hao wawili wakamwendea, naye akawauliza, “Je, mnaamini kwamba naweza kuwafanyia jambo hilo?” Nao wakamjibu, “Naam, Bwana.”
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alipofika nyumbani, wale vipofu walimwendea; Yesu akawaambia, Mnaamini kwamba naweza kufanya hili? Wakamwambia, Naam, Bwana.
Shirikisha
Soma Mathayo 9