Mathayo 9:18 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 9:18 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu alipokuwa akisema hayo, ofisa mmoja Myahudi alifika, akamwinamia na kusema, “Binti yangu amekufa sasa hivi. Lakini, tafadhali twende umwekee mkono wako naye ataishi.”
Shirikisha
Mathayo 9 BHNMathayo 9:18 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipokuwa akiwaambia hayo, tazama, akaja jumbe mmoja, akamsujudia, akisema, Binti yangu sasa hivi amekufa; lakini njoo, uweke mkono wako juu yake, naye ataishi.
Shirikisha
Mathayo 9 SUVMathayo 9:18 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Alipokuwa akiwaambia hayo, tazama, akaja kiongozi mmoja, akamsujudia, akisema, Binti yangu sasa hivi amekufa; lakini njoo, uweke mkono wako juu yake, naye ataishi.
Shirikisha
Mathayo 9 SRUVMathayo 9:18 NEN (Neno)
Yesu alipokuwa akiwaambia mambo haya, kiongozi wa sinagogi akaingia, akapiga magoti mbele yake, akamwambia, “Binti yangu amekufa sasa hivi. Lakini njoo uweke mkono wako juu yake, naye ataishi.”
Shirikisha
Mathayo 9 NEN