Mathayo 9:10
Mathayo 9:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipokuwa nyumbani ameketi kula chakula, watozaushuru wengi na wahalifu walikuja wakaketi pamoja naye na wanafunzi wake.
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.
Shirikisha
Soma Mathayo 9