Mathayo 8:4
Mathayo 8:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yesu akamwambia, “Angalia, usimwambie mtu yeyote, ila nenda ukajioneshe kwa kuhani, na kutoa sadaka iliyoamriwa na Mose kuwathibitishia kwamba umepona.”
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; ila nenda zako, ukajioneshe kwa kuhani, ukaitoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.
Shirikisha
Soma Mathayo 8