Mathayo 8:3
Mathayo 8:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akanyosha mkono, akamgusa na kusema, “Nataka! Takasika.” Mara huyo mtu akapona ukoma wake.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akanyosha mkono, akamgusa, akisema Nataka; takasika. Na mara ukoma wake ukatakasika.
Shirikisha
Soma Mathayo 8